Msafara wa Rais wa Zambia kuelekea Marekani kwenye Mkutano wa UN watumia ndege ya abiria ya Qatar Airways ili kupunguza gharama zisizo za lazima

Sasa sijui hiyo idadi ya watu watatu walioongozana na Hichilema huitaki au vipi
 
Hana walinzi?

Advance team

Watu wa uwekezaji?
 
Huyu wetu katambaa na mwewe gani jamani?isijekuwa lile tembo d liner.
Na shughuli ya kwanza ni kugonga selfie na kina kimambi.
 
Sasa sijui hiyo idadi ya watu watatu walioongozana na Hichilema huitaki au vipi
Hana walinzi?

Kwenye hizi trip Kuna official/formal na informal delegates

Hawezi kutetea coal economy halafu akaenda kule na watu watatu…. Yatakua ya Magu na mtasema alikua anaamua peke yake

Get me right… sipendi safari za viongozi za nje na Sipendi turudi Kwa jakaya, lakini hoja zetu ziwe substantial na sio emotional

I liked Magu freeze to travels especiallybwith Covid

But mama has other ideas

ILA video ya kwanza kumuonyesha mama na mange was wrong… watu wake wa protocol waache hizo

Mange alikua anatukana mamlaka hadi matusi ya nguoni
 
Hii ni taarifa ya serikali ya Zambia , sasa kama hutaki kuiamini kutokana na kutaka kuweka usawa kati ya misafara ya viongozi wenu na wa nchi za watu basi sawa
 
Hii ni taarifa ya serikali ya Zambia , sasa kama hutaki kuiamini kutokana na kutaka kuweka usawa kati ya misafara ya viongozi wenu na wa nchi za watu basi sawa
🤣🤣

Sawa.....

Kwa hiyo Rais Hichilema amekwenda na Walinzi 3 bila ya wasaidizi wengine ?!! Mmmh 😲😲🤣🤣
 
Wala hiyo sababu yako haina mashiko , hiyo royal tour, imeanza lini, mbona toka nyuma marais wetu kila wanapokwenda nje lazima watumie ndege binafsi?kulinganisha na baadhi ya marais wa wengine wa afrika, mfano , kenyata kuna baadhi ya safari hutumia ndege za abiria!!leo una mtetea kuwa ni sawa, kesho akiacha kuitumia tena utarudi hapa na kumpongeza, hapo ndio huwa siwaelewi mnasimamia wapi?
 
Yaani kusema ile "AIRBUS A220" imeandikwa "Ngorongoro" kwa ajili ya malengo ya kuhamasisha UTALII ni utetezi duni?!! Khaaa 😲🤣🤣
Acheni upuuzi...
Utalii gani unatangazwa...
au kwa kua bongo wajinga ni wengi...

Huu ndio utalii Unatangazwa


 
Wewe Tena
 
Hivi JPM naye aliwahi kwenda ? Najaribu kutafuta uzi wako ukimsifia JPM kwa savings alizofanya kwa kutokwenda kabisa kwenye mikutano hii kwa miaka 5 mfululizo. Siku nzima nimetafuta uzi wako huo sijauona. Tafadhali nisaidie niuunganishe na uzi wako huu wa kumsifia Mr HH.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…