lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,805
- 4,374
Ukikandamiza sana watu wako utaogopa mlipuko wakati wowote uleNimeona msafara wa Rais akiwa nchini Namibia. Hakuna walinzi wanaoning'inia hakuna watu wenye silaha za kivita.
Hakuna speed za ajabu kuwasha mataa na vingora vya hatari.
Nimeshindwa kuelewa tumeshindwa nini kuyatimiza haya nyumbani?
Ina maana hatuwaamini wanausalama wetu lakini wa Namibia tuna waamini?
Natumaini atakuwa amefungua macho kwa hii safari na atarudi na fikra mpya juu ya gharama za misafara yake