Msafara wa Rais Namibia vs nchini

Msafara wa Rais Namibia vs nchini

Nimeona msafara wa Rais akiwa nchini Namibia. Hakuna walinzi wanaoning'inia hakuna watu wenye silaha za kivita.

Hakuna speed za ajabu kuwasha mataa na vingora vya hatari.

Nimeshindwa kuelewa tumeshindwa nini kuyatimiza haya nyumbani?

Ina maana hatuwaamini wanausalama wetu lakini wa Namibia tuna waamini?

Natumaini atakuwa amefungua macho kwa hii safari na atarudi na fikra mpya juu ya gharama za misafara yake.

Maswali ya kujiuliza ukiwa unajenga hoja:
1. Kama hofu ni ndani ya nchi inamaana Tanzania sio sehemu salama kuishi?
2. Kama anamaadui wengi itakuwaje kama asipochaguliwa 2020?
3. Nyerere na Magufuli ni yupi aliyekuwa strict kwa wabadhirifu na mafisadi?

Nje watu wanamambo Yao yamaana ule ushamba na kick zinabaki kipawa tu. Si nyingine kaenda nao lakini akifika watu wamemtuliza mbona ndege haikuwa na eskort alisikika lakini mlevi mmoja.
 
Zingine huwa Mbwembwe tu, hawezi fanya mbwembe kwenye nchi za wenzake!
 
Huyo Limbukeni wenu ,taifa analiingiza gharama za ulinzi na misafara mikubwa isiyo na sababu ni kutaka sifa tu .
 
Unatoa mfano wa Namibia, my friend embu kuwa serious. We are moving fast with economic growth of 7% kwa rate hii ukitoa mfano kuilinganisha Tanzania zungumzia misafara ya nchi Kama USA, North Korea n.k acha kutulinganisha na vinchi
 
Tanzania, Mh. Ana maadui wengi zaidi unavyofahamu.

Siku akilegeza, ulinzi wake tunaweza mpoteza. Ikumbukwe pia bado watanzania wanamhitaji zaidi ya unavyodhani.
Hicho ni kisingizio tu kama wangeamua ni zamani tulisha sahau
 
Hivi muda wake ukiisha anabaki na walinzi wangapi kama sio watatu!, URais ni Uongozi mbaya sana ukijitengenezea maadui maana kuna maisha ya hofu baada ya kutoka madarakani. Sijui Kama analitambua hili! JK alishamuonya mapema "usijitengenezee maadui maana kuna maisha baada ya kustaafu "
Huyu akimaliza miaka Sita iliyobaki, na wewe utakuwa umeisha mpenda. Wakati huo utakuwa unajutia chuki zako za sasa. Jamaa anatubadirisha haraka.
 
Nimeona msafara wa Rais akiwa nchini Namibia. Hakuna walinzi wanaoning'inia hakuna watu wenye silaha za kivita.

Hakuna speed za ajabu kuwasha mataa na vingora vya hatari.

Nimeshindwa kuelewa tumeshindwa nini kuyatimiza haya nyumbani?

Ina maana hatuwaamini wanausalama wetu lakini wa Namibia tuna waamini?

Natumaini atakuwa amefungua macho kwa hii safari na atarudi na fikra mpya juu ya gharama za misafara yake.

Maswali ya kujiuliza ukiwa unajenga hoja:
1. Kama hofu ni ndani ya nchi inamaana Tanzania sio sehemu salama kuishi?
2. Kama anamaadui wengi itakuwaje kama asipochaguliwa 2020?
3. Nyerere na Magufuli ni yupi aliyekuwa strict kwa wabadhirifu na mafisadi?
View attachment 1110068
Haki ya Mungu mimi ni socialist kiitikadi na napenda kazi za kutukuka na za kibabe za Rais na kwa kutumia elimu yangu kubwa , nimetembea nchi zaidi ya kumi duniani na umri wangu mkubwa na nikirejea maisha ya watu niliyoshuhudia tangu nikiwa mtoto tukiweka jiwe la foleni duka la ushirika kuchukua unga wa Yanga ( wa njano) na sukari na sabuni hadi leo hii bado nikiwa katika jamii yangu hiyo hiyo , naamini kutoka moyoni Rais anafanya kazi iliyowashinda Marais wote waliopita na anahitaji ulinzi wa Mungu na wa binadamu mara kumi ya alionao sasa kwakuwa anapigana vita ngumu sana mbili zilizowashinda watangulizi wake, Mwl Nyerere anakiri hakuna beberu anaetaka Afrika kuendelea, msikilize video hapo chini!

1. vita ya kiuchumi ambapo kwasasa anasumbuana sana na mabeberu wa nje waliozoea kutunyonya na hapa ndani amewabana sana waheshimiwa mafisadi wote waliozoea kuiba mali ya umma na kuishi kifahari , ukwepaji kodi, ujangili , madawa ya kulevya, wizi wa madini , mikataba feki , mambo ya tenda za wizi, ama kweli jamaa sasa wanakata roho na wanatapatapa mno kwakuwa hakuna tena mirija ya wizi na ufisadi , kiasili hakuna binadamu anaekubali kushuka hadhi yake kirahisi bila reaction , because greediness ni human nature! na wabongo tulivyozoea kuwasifia matajiri sasa kama sifa hakuna tena na show off hakuna kwa matajiri na wanasiasa hili ni balaa jingine zito! ikibidi ni kuwafunga tu wale wabishi , mmoja washamtia ndani huko Singida safi sana bado nasubiri na wale wengine genge zima la ufipa wenye kesi ya mauaji!.

2. vita ya utamaduni ni ngumu mno yani mtu mmoja kupambana na jamii yake nzima si mchezo , wazungu wanasema customs die hard , wabongo ni watu wavivu mno tunaopenda bata na kwa miaka mingi tulijisahau kufanya kazi halali ya kipato cha kawaida , wabongo tuliyapenda na kuyazoea mno maisha ya bata na ya ujanja ujanja , na ya kisanii na ya kupata big money kimagumashi na ni ngumu mno kumlazimisha mtu mvivu, dalali, msanii kufanya kazi kama kufuga kuku, kukaanga chipsi, au kuendesha bodaboda au kufundisha shule! wabongo tunalala tu saa nne asubuhi huyoo kijiweni mchana unakula chipsi watu hawajui pesa umetoa wapi na hayo maisha ni feki , tuliyapenda na tuliyaoea, sasa nani kati yetu anataka kufanya kazi kwa kubembelezwa? nani anapenda kuondolewa bata zake na uvivu wake kulala hadi saa nne? maofisini chai masaa mawili , lunch masaa mawili , kazi masaa mawili tu siku imeisha? nani hapendi hiyo? yupo? anyooshe mkono!

Ila pia tusisahau hawa wanamtandao wanatapatapa sana kuutaka Urais na tshirt zenye ujumbe zimeanza!kwa mtazamo wangu hawa ni muhimu washughulikiwe haraka kwa maslahi mapana marefu na ya mbali ya taifa!

Taratibu za nchi nyingine nitofauti na zetu but Kule ndio atakua kwenye Risk zaid kulikov hapa maana Kule ndio hata watu Hawajui anaweza dhani ni police wakule kumbe adui
 
Akiwa nyumbani yuko kwenye risk kubwa zaidi kuliko akiwa Namibia,and hence the need for more security,it is as simple as that.Maadui zake huku ni wengi,wengi,wengi sana.

So you want to tell us that he is an enemy of his own people?
 
So you want to tell us that he is an enemy of his own people?
Far from that,he is an enemy of those who are against the well being of Tanzanians;those who pinch and want to pinch the resources of our country.
 
Nimeona msafara wa Rais akiwa nchini Namibia. Hakuna walinzi wanaoning'inia hakuna watu wenye silaha za kivita.

Hakuna speed za ajabu kuwasha mataa na vingora vya hatari.

Nimeshindwa kuelewa tumeshindwa nini kuyatimiza haya nyumbani?

Ina maana hatuwaamini wanausalama wetu lakini wa Namibia tuna waamini?

Natumaini atakuwa amefungua macho kwa hii safari na atarudi na fikra mpya juu ya gharama za misafara yake.

Maswali ya kujiuliza ukiwa unajenga hoja:
1. Kama hofu ni ndani ya nchi inamaana Tanzania sio sehemu salama kuishi?
2. Kama anamaadui wengi itakuwaje kama asipochaguliwa 2020?
3. Nyerere na Magufuli ni yupi aliyekuwa strict kwa wabadhirifu na mafisadi?
View attachment 1110068
Mjitahidi kuchuku nchi tuone Kama atafanya hayo. Mjue Rais Hana uwezo wa kuzuia taratiibu za kumlinda. Sio kazi yake
 
Back
Top Bottom