Msafara wa Rais Namibia vs nchini

Ata mm nmeona ameingia uwanjani peke yake bila ata yule mbeba files..
 
Akiwa nyumbani yuko kwenye risk kubwa zaidi kuliko akiwa Namibia,and hence the need for more security,it is as simple as that.Maadui zake huku ni wengi,wengi,wengi sana.
Lakini kwanini maadui awe nao wengi hivo?
 
Huo ulinzi atastaafu nao?Ulinzi tosha ni kuwekeza Kwa jamii tenda haki,kataa uonevu,Mwinyi Jk hata kariakoo wanakatiza kiroho safi.Kuulinda udikteta ni gharama.
Halafu naomba kuuliza "atarudi tena huku huyu?"
 
Huku hajiamini mana hiyo nafasi aliingia kwa hisani tu
 
Si alisema anawaogopa upinzani wasije kumchinja na kumtupa baharini
 
Kwani huku huwa inasababishwa na nino. au mambo ya kiusalama ya siri hatupaswi kujua raia kwa nini Rais wetu analindwa kwa silaha nzito za wazi.
 
Lakini kwanini maadui awe nao wengi hivo?

Madikteta si kwamba Upenda sana kuongoza au kudumu madarakani ttzo walishaharibu Kwa jamii wanaogopa watarudije?,wataishije nje ya ikulu? Wataishije Bila walinzi?,hakuna aogopae kifo kama dikteta, check Gaddafi kabla ajapewa bullet alivokuwa akilia,cheki kunyongwa Kwa Saddam USO wake,Bagbo alivovutwa kama Mbuzi,Doe alivokuwa akihema.

Salama ya dikteta ni kung'ang'ania Madaraka japo si Salama maana beberu ukigusa maslai yake lzm atawatumia wananchi wako kukuondoa.

Madikteta wote huwa Na mwisho mbaya kuuliwa,kufurushwa,kuishi ukimbizini,kuishia jela,nk.Heshima ya dikteta yeyeto ni kuondolewa madarakani Kwa aibu.
 
Kwani huku huwa inasababishwa na nino. au mambo ya kiusalama ya siri hatupaswi kujua raia kwa nini Rais wetu analindwa kwa silaha nzito za wazi.
Hofu ni ugonjwa mbaya sana.Fear of unknown. Jinsi gani unawatendea watu wako ndivo uditermine ulinzi wako uwaje.Mzee Ruksa JK twacheza nao bao, twasali pamoja msikitini kama wenzetu tu.
 
Akiwa nyumbani yuko kwenye risk kubwa zaidi kuliko akiwa Namibia,and hence the need for more security,it is as simple as that.Maadui zake huku ni wengi,wengi,wengi sana.
Aishi huko huko. Asirudi huku kama maadui wake wengi wapo TZ.
 
Kila zama na nabii wake

Mussa alikuwa na Haroun tu

Yesu alikuwa na;
Petro
Yohana
Luka
Juda
Mathayo
Thomaso
Jacob
Thadayo
Simon
Bathlomayo
Andrea
......chawa kama wote.
Kwanini haukuwepo hapo kabla?
 
Tanzania, Mh. Ana maadui wengi zaidi unavyofahamu.

Siku akilegeza, ulinzi wake tunaweza mpoteza. Ikumbukwe pia bado watanzania wanamhitaji zaidi ya unavyodhani.
 
.
Taratibu za kupanga kazi za kiusalama ziko hivi:

1. Security threats analysis
2. Security threats evaluation
3. Pro-active strategy to neutralize the critical threats
4. Implementation.
5. Review.

Ni kaiz ya kila mara, na sio kila siku, kwa siku moja inaweza kufanyika hata mara mbili.

Nadhani utafaidika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…