Mzee wa hat-trick
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,730
- 2,394
Kagongewa wapi..?Muda si mrefu uliopita, msafara wa Mheshimiwa Rais kuelekea Uwanja wa Jamhuri Dodoma kwa ajili ya maadhimisho ya Miaka 56 ya Uhuru, umegonga mtu, na kufariki papo hapo.
Mungu ailaze Roho ya marehemu Mahali panapostahili.
1. Kagongewa MBELE KABISA YA JENGO LA CCM.Kagongewa wapi..?
Amegongwa katika mazingira gani..?
Nini kilifanyika baada ya ajali hiyo...?
Ebu weka picha....
Watu wanaogopa uchocheziWeka kapicha basi...!!!
Hapo karibu na Nyerere skwea? Au jengo jipya makulu?1. Kagongewa MBELE KABISA YA JENGO LA CCM.
2. Kagongwa barabarani. Alitaka kuvuka.
3. Kilichofanyika baada ya ajali ni kumfunika na kupeleka mochwari. Msafara hauwezi kusimama kiusalama zaidi.
4. Siwezi kupiga picha maiti mkuu. Hta hvy kila mmoja alibaki anashangaa kwa kilichotokea.
Kama kagongewa pale mbele ya CCM mkabala na Duka la samaki pembeni kwawapemba wanaouza misosi nyakati za jioni.........1. Kagongewa MBELE KABISA YA JENGO LA CCM.
2. Kagongwa barabarani. Alitaka kuvuka.
3. Kilichofanyika baada ya ajali ni kumfunika na kupeleka mochwari. Msafara hauwezi kusimama kiusalama zaidi.
4. Siwezi kupiga picha maiti mkuu. Hta hvy kila mmoja alibaki anashangaa kwa kilichotokea.
Huenda alitaka kujitoa muhanga kumdhuru Rais! Gari ni silaha inayotembea, kihere here chake ndicho kimemponza. Hata hivyo nchi ina watu milioni 56 waliobaki na wengine wanaendelea kuzaliwa kila siku. Kila mtu awe responsible na maisha na usalalma wake!