Msafara wa Putin Chechnya Kufuru

uwezi ukafananisha uwongozi wa Urusi na nchi zetu za africa.viongozi wetu huku wanakuwa na mamlaka makubwa sana na pia hata katiba zetu zinawapa mamlaka ya juu zaidi ya bunge.wanakuwa na uwezo wa kumfukuza kazi mtu yoyote yule katika serikali pasipo hata sababu ya msingi.wanauwezo wa kuvunja mpaka bunge lenye wawakilishi wetu tuliowachagua kwa sababu tu labda bunge limekosoa kazi za mueshimiwa.katiba nyingi za africa mtu mwenye nguvu nyingi,asiyeweza kufutwa kazi na aliye juu ya mahakama ni raisi
 
Teh teh sasa hapo sijui yupo kwenye gari za mbele zilizo side by side baada ya sweepers

Au yupo kwenye second last cars before sweepers ?
 
Sasa hizo gari za kwenye barabara za kuchepuka ndio gari zilizokuwa kwenye msafara

Kati ya hizo gari 91 za Putin kuna gari hata moja iliyo onyeshwa ambayo ipo kwenye barabara ya kuchepuka ?

Kiswahili kumbe kigumu kiasi hiki
 
Gari 106.
Hapo kama kuna gaidi anavizia atasubili sana.
 
Kule watu wa Dini ile walishuhulikiwa hadi wakanyooka. Yesu ni Bwana
 
Leo umenena mkuu.wameanzisha balaa wao wamejitenga
 
Poise, hii dharau sasa
 
Sasa hizo gari za kwenye barabara za kuchepuka ndio gari zilizokuwa kwenye msafara

Kati ya hizo gari 91 za Putin kuna gari hata moja iliyo onyeshwa ambayo ipo kwenye barabara ya kuchepuka ?

Kiswahili kumbe kigumu kiasi hiki

Mazingira yetu siyo rafiki sana.

Ila huwezi , ukaelewa hadi upigwe nyundo kisogoni ndiyo akili zinakurudi.
 
Kwahiyo unapendekeza kuhusu Raisi wetu.......
 
Mazingira yetu siyo rafiki sana.

Ila huwezi , ukaelewa hadi upigwe nyundo kisogoni ndiyo akili zinakurudi.

Ulicho jibu sicho ulicho ulizwa unategemea nitakuelewa ?

Sawa tumeelewa upo kwenye intelligence community maana ndio ulicho potray kwenye hizo comments zako hapo juu
 
Ulicho jibu sicho ulicho ulizwa unategemea nitakuelewa ?

Sawa tumeelewa upo kwenye intelligence community maana ndio ulicho potray kwenye hizo comments zako hapo juu

Yamakagashi ,
Mkuu tengua kauli yako Poise , sijui hata maana ya intelligence community nini maana yake.

Mkuu, naomba tusialikiane Nissan Nyeupe bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…