Msafara wa Putin Chechnya Kufuru

Msafara wa Putin Chechnya Kufuru

Duh! Kweli jamaa hatari sana.
Magari mengi mno
 
Huko ulaya wameshaachana na maswala ya demokrasia, wanatudanganyia sisi tu,Putin mwakani anagombea muhula wa nne wa urais, hiyo ni baada ya kuwa rais kwa awamu mbili, baadaye kuwa waziri mkuu, na kurejea kuwa Rais, tena, Angela Merkel naye muhula wa tatu, malkia anakwenda mwaka wa 64 huu madarakani, wacha sisi tuendelee kupoteza muda na mzigo ambao waanzilishi wenyewe wameshaachana nao.
 
Kwanza mtoa habari amesema uongo,hiyo ilikuwa Putin anakwenda lunch,na magari yalikuwa 105,USA wanamtafua na drone sasa hapo ilikuwa ngumu,nawala hakuwa Chechnya
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Huku ulaya wameshaachana na maswala ya demokrasia, wanatudanganyia sisi tu,Putin mwakani anagombea muhula wa nne wa urais, hiyo ni baada ya kuwa rais kwa awamu mbili, baadaye kuwa waziri mkuu, na kurejea kuwa Rais, tena, Angela Merkel naye muhula wa tatu, malkia anakwenda mwaka wa 64 huu madarakani, wacha sisi tuendelee kupoteza muda na mzigo ambao waanzilishi wenyewe wameshaachana nao.
Kwahiyo unataka mchungi agombee tena?Russia ni katiba yao,German waziri mkuu kikomo ni 4 times, sasa kwetu kipo wametudanganya nini what about America na Japan nao wamedanganywa?
 
Huku ulaya wameshaachana na maswala ya demokrasia, wanatudanganyia sisi tu,Putin mwakani anagombea muhula wa nne wa urais, hiyo ni baada ya kuwa rais kwa awamu mbili, baadaye kuwa waziri mkuu, na kurejea kuwa Rais, tena, Angela Merkel naye muhula wa tatu, malkia anakwenda mwaka wa 64 huu madarakani, wacha sisi tuendelee kupoteza muda na mzigo ambao waanzilishi wenyewe wameshaachana nao.
Kuna aina nyingi ya Democrasia, usisema Ulaya hamna demokrasia kwa Ku refer malkia wa Uingeleza eti kaa miaka 64 huku ukijua kabisa umalkia na ufalme haushindaniwi kwenye sanduku la kula. Kwa kesi ya Ujerumani katiba yao inawaruhu Ku save kwa vipindi 4. France Macron kaingia juzi
Ni Ulaya gani hiyo uizungumzayo isiyo na Democrasia
 
Kwahiyo unataka mchungi agombee tena?Russia ni katiba yao German waziri mkuu hana kikomo sasa kwetu kipo wametudanganya nini what about America na Japan nao wamedanganywa?
Japan PM wa sasa ameshika madaraka mara 3,
 
Huku ulaya wameshaachana na maswala ya demokrasia, wanatudanganyia sisi tu,Putin mwakani anagombea muhula wa nne wa urais, hiyo ni baada ya kuwa rais kwa awamu mbili, baadaye kuwa waziri mkuu, na kurejea kuwa Rais, tena, Angela Merkel naye muhula wa tatu, malkia anakwenda mwaka wa 64 huu madarakani, wacha sisi tuendelee kupoteza muda na mzigo ambao waanzilishi wenyewe wameshaachana nao.
wewe upo ulaya au lumumba kwa wanywa kahwa na kashata
akili hiyo haiwezi kuwa inaishi kwenye baridi
 
Back
Top Bottom