Msafara wa mtu/kiongozi mkubwa kupata msukosuko

Smartkahn

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2020
Posts
877
Reaction score
1,472
Sijajua ni nani ni wapi ni lini na ni kwanini Ila nimeona ni kivipi msafara ule ulivyozua taharuki kwa wanausalama, na waongozaji wakiwa katika hekaheka, kiasi kwamba wako baru wasijari hata usalama wa watumia balabara ile.

Kwa kutumia hisia na ufahamu wangu huenda ule msafara ni wa Rais.

Wahusika wawe makini na wawajibike kwa weledi.
 
Hivi watu wanao simama barabarani wakati msafara una pita huwa wana shangaa nini haswa?
Mtu ana acha kabisa duka lake ana enda kushangaa msafara

Haya mambo nilifanya mara ya mwisho kwa kikwete peke yake ndio nilishangaa now noana misafara ya kawaida sana
 
Kuna energy field huwa inajengeka wanakua wana-feel maajabu mubashara, ni Kama wanaoshangilia rally/racing show au wale wanaotizama soccer live⚽.
 
Kila mmoja na hobby yake mkuu, Ila Kuna hobby nyingine ni jau Kuna hobby nyingine ni ngumu kutenganisha na ushamba...

Just imagine mtu anafunga mziki kwenye pikipiki.
Pikipiki yenyewe ina mziki sipandi nilikuwa mbezi pale natoka sokon nikachukua bajaji kawasha tu mziki nao huo nika mwambia zima mziki wako kma una taka hela yangu ivyo tu
 
Hivi watu wanao simama barabarani wakati msafara una pita huwa wana shangaa nini haswa?
Mtu ana acha kabisa duka lake ana enda kushangaa msafara

Haya mambo nilifanya mara ya mwisho kwa kikwete peke yake ndio nilishangaa now noana misafara ya kawaida sana
Si kweli kwamba watu wanashangaa msafara. Kinacho fanyika ni watu kuzuiliwa hata wakati mwingine kuvuka barabara. Na hivyo hungojea hao wapuuzi wapite. Ndicho hupelekea kuona kama watu wanasibiri msafara
 
Ni kweli ila kuna baadhi ya watu wana funga maduka mpaka barabarani na kuitana msafara una pita wanaenda kusimama karibu na barabara kushangaa chunguza si una ishi mtaani?
 
Sijajua ni nani ni wapi ni lini na ni kwanini Ila nimeona ni kivipi msafara ule ulivyozua taharuki kwa wanausalama, na waongozaji wakiwa katika hekaheka, kiasi kwamba wako baru wasijari hata usalama wa watumia balabara ile.

Kwa kutumia hisia na ufahamu wangu huenda ule msafara ni wa Rais.

Wahusika wawe makini na wawajibike kwa weledi.
Mikakati ya chawa ni pamoja na kuratibu display of fake public support kwa kiongozi.
 
Hivi watu wanao simama barabarani wakati msafara una pita huwa wana shangaa nini haswa?
Mtu ana acha kabisa duka lake ana enda kushangaa msafara

Haya mambo nilifanya mara ya mwisho kwa kikwete peke yake ndio nilishangaa now noana misafara ya kawaida sana
Ulichokua unashangaa wewe hiyo enzi ya kikwete,ndio na hao washamba wenzio wanachokishangaa now.
 
Back
Top Bottom