Msafara wa Magufuli Arusha


Alikuwa Makamu Dr. Billal...
 
Alikuwa anatelekeza ilani ya uchaguzi. Kazindua barabara ni ya watanzania wote acha uzandiki jobless wewe na bado mtaweweseka ikula jamaa ataiona mbali
 
Kamanda unalia lia nini Arusha si uwa mnasema mnaye rais wenu Lema.
 
Msafara ulikuwa wa Makamu wa Rais ila Makufuli aliunganishwa tu. Magamba bwana!!!
 
nitampa kura magufuli,huyo tamaa ya fisi lowassa asubiri sana na atakufa kwa presha mwaka huu
 
Mkuu uo msafara ulikuwa wa Mkuu wa mkoa wa Arusha na Manyara na sio wa Makufuli.
 

tunawaogopa msimfanya mliyomfanya mwakyembe na mwandosya hatujasaau,

 
Usilalamike sana mkuu...huo upuuzi utaondoka October after ukawa kuchukua nnchi....lowasa hato kubar upuuzi wa watumiz mabaya ya pesa za umma kwa ajili ya chama...[/QU

Mwizi akemee mbadhirifu. Ha ha ha!
 


Unashangaa nini wakati ndo yuko kwenye maandalizi ya kushika mikoba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…