Msafara wa Maalim Seif wapata ajali Mwanza

Msafara wa Maalim Seif wapata ajali Mwanza

mandla Jr. yaani hujui wanapigania nini? kweli aso maana haambiwi maana? kikieleweka utajua, kuwa mpole.

Kuna watu hujiita Makamanda/Wapiganaji....nini wanachopigania???
 
Hivi mtu anahabarisha umma halafu mnafanya mzaha wale bado ni wenzetu tusubiri katiba ya wananchi itakapopatikana ndio tuagane kwa amani
 
Walimrushia scud kumbe na yeye yupo mzimaa! CCM mtakufa mwakani.
 
....TZ ajali nyingi za viongozi ni za kupanga....haswa wale walio mwiba kwa watawala....muulizeni dr.Mwakyembe atawaambia....nyie mnajadili uzenj na u bara wakati issue ni mtu kupona ajali...wabongo bana!
 
10649576_365653036918405_2710866997486703669_n.jpg


Mkurugenzi wa habari wilaya'na MH SHIDO Ambae ni mwenyekiti wa serikal ya mtaa uliyopo kata ya miringo,wameumia vibaya wamelazwa hospitali ya BUGANDO[/QUOTE
Pole sana kamanda Shido tunakuombea afya njema upone haraka uendeleze mapambano.
 
Hahahaha umenikumbusha hako ka msemo ka maalim pindi anapokuaga anawahutubia boko haram.
Utasikia vibwagizo... mpo sawa sawaaaaaaah???
Tetetete.


K.mamayako Boko haramu ni mama yako mzazi ambae amebeba mimba yako baada ya kubakwa na walevi watano kwenye pombe ya kienyeji.

Mbwa kasoro mkia wewe
 
awe makini maana ccm hawachelewi kumpoteza huyu jamaa maana wanajua ni kikwazo cha kupata theluthi 2 kule nchi jirani.
 
Tehteh jukwaa limevamiwa na taahila.

Taahira Mimi au wewe ulieanza kutaapika pombe hapa? Kama unajua CUF ni chama cha kiislamu na sio cha siasa jee unakiona vipi chadema!?? Sote tunajua sapoti yake kubwa iko kanisani kwa ufupi ni chama cha kigalatia waislamu hawana chao.

Kama unashangaa Mtatiro kutokuwemo katika safu ya uongozi wa CUF kwa kuwa in mgalatia kama ulivyosema wewe! Jee na mimi nikishangaa kwanini Saidi Arfi na Zito kabwe hawamo katika safu ya uongozi Wa chadema kiss ni waislamu jee itakuwa makosa??
 
Isijekuwa ni mpango maalum mana CCM wana kila aina ya mipango, mbona msafara wa Pinda hizo gari huamriwa kusimama kwanza. maalim tunakuomba acha safari za Tanganyika mara moja hawa watu ni mamluki wanajuwa kabisa joto lote hili la siasa wewe ndio bosi. wako bizz wanataka usigombanie tena urais. Njoo zako utulie visiwa vya karafuu maalim wetu. Tunakupenda.
 
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar na Katibu Mkuu Taifa wa Chama cha Wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad umepata Ajali mbaya Mkoani Mwanza na kupelekea Viongozi mbalimbali wa Chama hicho kuwa na hali mbaya.

Vilevile Mkurugenzi huyo wa Habari wa Chama hicho alisema kwa sasa Majeruhi hawo wamekimbizwa kwenye Hospitali ya Bugando kupatiwa matibabu na hali yao inaendelea vizuri isipokuwa Katibu chama cha Cuf kutoka Wilaya ya Nyamagana Rehema Mwenda hali yake sio Nzuri kutokana na kupoteza Fahamu
Naibu Mkurugenzi wa Habari kutoka Chama cha Wananchi CUF bwana Kambaya alithibitisha kutokea kwa Ajali hiyo na kusema Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar Maalim na Katibu Mkuu Taifa wa Chama cha Wananchi (CUF) Seif Sharif Hamad ajadhurika na yuko salama bali waliodhurika na Ajali hiyo ni viongozi wa chama hicho,

"Ni kweli Msafara wa Makamu wa rais na Katibu mkuu Taifa umepata ajali ila yeye yuko salama,lakini viongozi wetu wa chama akiwemo katibu wa Chama cha Wananchi CUF Wilaya ya Nyamagana Be Rehema Mwenda Pamoja na Mkuu wa Kitengo cha cha Habari wa chama Chetu wilaya ya nyamagana Hassan Shido ndio wamepata majeraha kutokana na Ajali hiyo,"alisema Kambaya.

Kambaya alizidi kusema Ajali imetokana na Dereva wa Gari aina Scania kwenda kuligonga Gari lilokuwa limewabeka viongozi hao,ambapo gari hilo lilikuwa la nne kutoka gari lililombeba Maalim Seif kwenye msafara huo.

10383026_365653033585072_97665310246320442_n.jpg


Isijekuwa ni mpango maalum mana CCM wana kila aina ya mipango, mbona msafara wa Pinda hizo gari huamriwa kusimama kwanza. maalim tunakuomba acha safari za Tanganyika mara moja hawa watu ni mamluki wanajuwa kabisa joto lote hili la siasa wewe ndio bosi. wako bizz wanataka usigombanie tena urais. Njoo zako utulie visiwa vya karafuu maalim wetu. Tunakupenda.
 
Back
Top Bottom