Msafara wa Maalim Seif wapata ajali Mwanza

Msafara wa Maalim Seif wapata ajali Mwanza

KUMBE HATA WATU WA CUF, HUWA WANAVAA SUTI.....Mi nilidhani wanavaa tuu Kanzu na barakashia

10649576_365653036918405_2710866997486703669_n.jpg
 
Sasa mtu anataka zanzibar iliyo huru ili apumue, unategemea nani atampa huo ulinzi?

Hivi ni makamu wa raisi Zanzibar au muungano?? serikali ya mapinduzi Zanzibar ndio inayowajibika kugharimia ulinzi wa viongozi wake wakiwa huku Tanzania bara; au chama chake cha CUF; hiyo safari sio ya kiserikali; na makamu wa raisi Zanzibar hana hadhi ndani ya serikali ya muungano; kubebwa huku tuwaebebe hadi lini?? Maalim hataki muungano Musoma kimempeleka nini kama sio kutia watu lawani?? angejerhiwa mngeitia lawamani CCM na serikali yake. tunawaombea wote waliojeruhiwa Mola awajalie wapate nafuu ili warejee kwenye shughuliza za kawaida; Amen.
 
Hahahaha umenikumbusha hako ka msemo ka maalim pindi anapokuaga anawahutubia boko haram.
Utasikia vibwagizo... mpo sawa sawaaaaaaah???
Tetetete.

boko haram ndo akina nani we maskini wa fikra!!?
 
Pole sana Komredi Maalim Seif...

Enyi watu wa kizazi hiki jihadharini sana; kuna roho toka ulimwengu wa giza zipo zamu hadi Desemba 2014.
Mnaposafiri hata safari ya dakika 5; wekeni utaratibu wa kumkumbuka Muumba vyote! Mkabidhini kila kitu!
 
Ninavyojua mimi Makamu wa Rais ni kiongozi Mkubwa sana ina maana polisi au serikali ilikuwa haijui kuwa Msafara wa Makamu wa Rais SUK atapita hapo! Mbona barabara zinafungwa Mkuu tu wa Mkoa anapopita eneo flani na msafara wake kusindikizwa na vingora mbele na Nyuma? Jamani Tuzindukeni sasa Watanzania CCM inatupeleka kuzimu kwa hizi double standard zao!
Huyo ni makamu wa raisi wa nchi ya Zanzibar aliyekuwa Tanganyika kwa ziara ya kichama hivyo hakuwa katika ziara ya kiserikali kwakuwa huku hatambuliki cheo chake kinaishia huko Zanzibar akiwa huku anakuwa kiongozi wa CUF sio serikali!
 
Inamuondolea heshima ya kulindwa kama mgeni! Mbona Obama alikuja hapa mkatumia kila kilichochetu kumlinda mgeni! na nasikia hata Ikulu Rais wetu alikuwa anakaguliwa kuingia ikulu
 
Inamuondolea heshima ya kulindwa kama mgeni! Mbona Obama alikuja hapa mkatumia kila kilichochetu kumlinda mgeni! na nasikia hata Ikulu Rais wetu alikuwa anakaguliwa kuingia ikulu

We chizi kweli unataka umlinganishe Obama na mtu mwenye hadhi ya cheo cha Ras mkoani? Teteteteeee kumekucha.
 
We chizi kweli unataka umlinganishe Obama na mtu mwenye hadhi ya cheo cha Ras mkoani? Teteteteeee kumekucha.
wee ndio mwezi mchanga kabisa tena zoba unayemshobokea Obama! anakusaidia nini huyo Obama! si afadhali Maalimu anaishi kwa kodi zetu kuliko Ubama anayeishi kwa Damu za watu!huko SUK hakujichagua mwenyewe ni watu walimchagua!
 
We mpumbavu kabisa aliyekwambia maalim anaishi kwa kodi ya mtanganyika nani???

Hujui kama ujio wa obama ni heshimg kwa nchi yako kuliko hao ndumilakuwili wa muungano? Pimbi
 
Wakishatoka BUGANDO kupata matibabu ndiyo wapande jukwaaani kuikashifu serikali kuwa haijafanya chochote. UKAWA bwana!
 
KUMBE HATA WATU WA CUF, HUWA WANAVAA SUTI.....Mi nilidhani wanavaa tuu Kanzu na barakashia

10649576_365653036918405_2710866997486703669_n.jpg
Hivi kuna mashetani wanafurahia ajali kwa wenzao!! kweli tumekwisha!! Isije kuwa hata scania ni mpango wa chama cha mashetani aka CCM. Siku ya ukombozi yaja subiri!!
 
Hivi ni makamu wa raisi Zanzibar au muungano?? serikali ya mapinduzi Zanzibar ndio inayowajibika kugharimia ulinzi wa viongozi wake wakiwa huku Tanzania bara; au chama chake cha CUF; hiyo safari sio ya kiserikali; na makamu wa raisi Zanzibar hana hadhi ndani ya serikali ya muungano; kubebwa huku tuwaebebe hadi lini?? Maalim hataki muungano Musoma kimempeleka nini kama sio kutia watu lawani?? angejerhiwa mngeitia lawamani CCM na serikali yake. tunawaombea wote waliojeruhiwa Mola awajalie wapate nafuu ili warejee kwenye shughuliza za kawaida; Amen.

Hivi ww unajua maana muungano nyoko ww mbona jk akija zanj anapewa ulinzi tosha ulinzi haujalishi chama haswa mtu akiwa anacheo kikubwa katika serikali yoyote kati ya hzi mbili jeshi la polisi na matrafic nao wanavyama eeeh hebu nijuze acha umbulula huyo muheshima kikubwa lazima alindwe na aungozwe na msafara popote alipo ndo walewale mtu akiwa raisi hawi raisi wa chama tena anakuwa raisi wa wananchi wote boya ww rudi darasani ukasome
 
wewe mbulula rudi darasani; Maalim Seif huku Tanzania Bara kiserikali kicheo katibu kata ni mkubwa sana kwake; huyo ni makamu wa raisi Zanzibar havuki Chumbe; huo umakamu wenyewe garasa hawezi hata kumfukuza sheha wa mtaa; Jakaya ni raisi Muungano tunalipia gharama zake!
 
Kuwa watumwa wa wazungu,waarabu hakujaisha na hakutaisha hapa Tz sababu wajinga wengi sana.mtz zama hizi at bado anamthamin sana mkoloni kuliko yeye mwenyewe ni ujinga, .Tunafikia akifa/akiuwa tembo,simba,fisi,pundamilia,nyangumi nk at wanaojiita viongozi wa sirikari fulu kujibalaguza at wanauchungu sana na hao wanyama pori,Wakati watu siku wnakufa vifo vya kizembe mf ajali, kuzushiwa jambo lolote na kupigwa hadi kufa,kukabwa,ujambazi uciopungu wala kukoma,vifo vya kizembe mahospitarin na ndio maana wao mafua tu wanakwenda india south,german,usa , ni ujinga,Mtu ndio mpigania nchi ikiwezekana hadi kufa cio tembo,fisi nk.Usimzarau mtanzania mwenzako hata ciku moja ni dhambi kubwa ,upendo wa ndani kwanza alafu unawaangalia folena.mf izrael akifa mmoja amili jeshi anaamlisha jesha front.Tuache ujinga,ushamba,utumwa nk
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom