Msafara wa Lema katika picha

Msafara wa Lema katika picha

No no no in CAPITAL letter, when I say Mamluki I do not that you should be of one side.....No. Mamluki ni neno pana sana.[QUOTE=Mangaline;5277605]Do you mean JF is for one party only, and others are Mamluki?????????[/QUOTE]
 
JF belongs to People who have got Power, to suffocate Principles which allocated by Purposes of many Plans.

Do you mean JF is for one party only, and others are Mamluki?????????
 
Mie pia nimeanza kufuatilia kujua namna ya kuzipata. Zimetulia sana

Mkuu juzi Arusha kuna Gari ilikuwa inazunguka kuziuza na vilikuwepo vifuatavyo

1. Myanvuli
2. Kofia
3. Cap
4. Skafu
5.Tshirt
6. Mashati
7. Full combat
8.
 
Najua zinapopatikana hapa dar

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Tunampongeza, lakini nilitaraji kuona msafara sio mh akituma msg
 
1.jpg
akiingiaa mahakamani na kusalimia wafuasi
 
Hello family i'm happy to be with you we are together asante sana
 
CDM wakiweza kuhimili fitna na kadhfa zilizosukwa kuwasambaratisha,basi wataongeza idadi ya wabunge wengi sana sana na baada ya 2015 nchi yao.....kabisa!!kwa 2015 nina mashaka makubwa sana nguvu fulani hivi itatumika ila baada ya hapo ushindi lazima na ikulu yao
 
Hongera Lema na Timu Yote Ya CDM,iLIYOSIMAMIA kESI HIYO.
 
Back
Top Bottom