GE2025 Msafara wa kumpokea Samia Arusha

GE2025 Msafara wa kumpokea Samia Arusha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
853
Reaction score
1,636
Leo oktoba 01, 2025 Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi, (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan atawasili katika Mkoa wa Arusha Katika Jimbo la Arusha Mjini kuanza Mikutano yake ya Kuomba Kampeni kuomba Kura kwa Wananchi. Kupitia Ujio huo Wadau mbali mbali wa sekta ya Utalii Nchini Mkoani Arusha wametoa magari ya Utalii zaidi ya mia moja kwenye Mapokezi ya Dkt. Samia Mkoani humo.
 
Mbona helkopta inapepea angani na yeye anatumia gari? Naona majimbo yaliyo nje na barabara kuu wagombea wake hukutana kwenye kituo kimoja. Hapa yupo bomang'ombe akielekea arusha. Namuona Mollel na Shaashisha kituo chao ni bomang'ombe ndio mgombea urais anafanya mkutano hapo na hatimaye aingie mkoa wa arusha
 
nchi itapona kutokana hatari za kupotea kwa amani kunako tokana na uchochezi uongo na uzushi unao fanywa na haini lisu
acha ujinga, tambua lissu ni mwanasiasa mzalendo wa nchi, huo uchochezi unachochea wewe
 
Yuko Arumeru, naona mgombea ubunge wa arumeru magharibi si muongeaji mzuri kama mwenzake wa mashariki, sijui alishandaje kura za maoni na uzee wote ule!
 
Back
Top Bottom