Millan og sana
Member
- Dec 28, 2022
- 39
- 13
Nenda hicho chuo unachotaka kusomea hiyo kozi ya IT waoneshe matokeo yako kama yanaendana na vigezo wanavyotaka wao, watakujulishaMIMI NIMEHITIMU KIDATO CHA NNE NA SITA. KIDATO CHA SITA PCB NIMEPATA "ESE" NIKAONA SIWEZ KWENDA DEGREE NIKAENDA SOMA FOUNDATION PROGRAM YA OUT (1YRS) SIJUI MUNAIJUA hii program NIKAPATA GPA YA 3.5
Maana yake nishapata VIGEZO vya degree ila course ninayotaka kusoma degree ni IT au Computer science (my favourite) ILA CHETI CHANGU CHA FORM 6 NA 4 SOMO LA BASIC MATH NINA " F"
SWALI JE NAWEZA NA KAMA HAWEZEKANI NIFANYE NINI? NIFIKIE NDOTO ZANGU ZA KUSOMA SOMA DEGREE YA COMPUTER SCIENCE AU IT NAOMBA UJIBU KWA UFASAHA MAANA NISIJE NIKAKATA TAMAANA VIONGOZI MAANA NIKAJA HAPA NIPATE UFAFANUZI KWENU WADAU WA ELIMU
Kumbuka Mimi BINADAMU naomba usinishauri kwa kejeli naomba uzingatie Aya hapo chini
NB: advance nilisoma private PCB
:Nimejitathimini Sitaki kwenda kuanza diploma kwasababu zilizo nje ya UWEZo WAngu Muda na umri
3.naomba unishauri kwa kunitiha moyo niweze kufika ndoto Yangu iyo ya kusoma degreeyangunya cs au IT ndyo Maana nikaja hapa kwa WADAU WA elimu najua nitapata majibu ya swali langu hapo JUU na MAWAZO mengine mema yenye MSAADA kwangu
Sawa kwa wazo zuri nilitaka kujua hapa kwa Watu wenye expérience na hili Maana Niko bush sana okay nitafanyia KAZI ILO wazoNenda hicho chuo unachotaka kusomea hiyo kozi ya IT waoneshe matokeo yako kama yanaendana na vigezo wanavyotaka wao, watakujulisha
poaSawa kwa wazo zuri nilitaka kujua hapa kwa Watu wenye expérience na hili Maana Niko bush sana okay nitafanyia KAZI ILO wazo
Course ya afya kwa foundation program sidhani kama wanaruhusuIla wakati unasoma foundation program ungelibadilisha masomo na kuchukua PCM au PGM ila hebu subiri tcu guidebook usome vigezo vya kozi hiyo, lakini kwanini usisome kozi za afya?
Course ya afya kwa foundation program sidhani kama wanachukuaIla wakati unasoma foundation program ungelibadilisha masomo na kuchukua PCM au PGM ila hebu subiri tcu guidebook usome vigezo vya kozi hiyo, lakini kwanini usisome kozi za afya?
Chuo ganiUmesema BAM una 'F' ?
Ngoja tuwasikie wa Computer science wanasemaje?
Ila kuna jamaa namfahamu alisoma PCB half akachua Computer science..!
Nenda TEKU University Mbeya a.k.a Green City..... na cheti cha six kaanze Diploma ya IT miaka miwili then unaunga hapohapo Degree ya Computer ScienceMIMI NIMEHITIMU KIDATO CHA NNE NA SITA. KIDATO CHA SITA PCB NIMEPATA "ESE" NIKAONA SIWEZ KWENDA DEGREE NIKAENDA SOMA FOUNDATION PROGRAM YA OUT (1YRS) SIJUI MUNAIJUA hii program NIKAPATA GPA YA 3.5
Maana yake nishapata VIGEZO vya degree ila course ninayotaka kusoma degree ni IT au Computer science (my favourite) ILA CHETI CHANGU CHA FORM 6 NA 4 SOMO LA BASIC MATH NINA " F"
SWALI JE NAWEZA NA KAMA HAWEZEKANI NIFANYE NINI? NIFIKIE NDOTO ZANGU ZA KUSOMA SOMA DEGREE YA COMPUTER SCIENCE AU IT NAOMBA UJIBU KWA UFASAHA MAANA NISIJE NIKAKATA TAMAANA VIONGOZI MAANA NIKAJA HAPA NIPATE UFAFANUZI KWENU WADAU WA ELIMU
Kumbuka Mimi BINADAMU naomba usinishauri kwa kejeli naomba uzingatie Aya hapo chini
NB: advance nilisoma private PCB
:Nimejitathimini Sitaki kwenda kuanza diploma kwasababu zilizo nje ya UWEZo WAngu Muda na umri
3.naomba unishauri kwa kunitiha moyo niweze kufika ndoto Yangu iyo ya kusoma degreeyangunya cs au IT ndyo Maana nikaja hapa kwa WADAU WA elimu najua nitapata majibu ya swali langu hapo JUU na MAWAZO mengine mema yenye MSAADA kwangu
Unaweza kunijibu au kunishauri hapa au ukaja inbox VYOTE sawa
Nenda TEKU University Mbeya a.k.a Green City..... na cheti cha six kaanze Diploma ya IT miaka miwili then unaunga hapohapo Degree ya Computer
Ninacheti Cha foundation certificate sitaki kuanza diplomaNenda TEKU University Mbeya a.k.a Green City..... na cheti cha six kaanze Diploma ya IT miaka miwili then unaunga hapohapo Degree ya Computer Science
Nenda Kilimanjaro Christian university college of healthy and allied science wanachukua
www.out.go.tz.comAnafahamu kuhusu Foundation program anieleweshe kidogo Ina tofauti gani na Diploma!??
Link inagoma mkuu
Out nimeangalia Tcu guidelines ya MWKAA Jana sijaona bachelor ya IT au COMPUTER SCIENCE Amna NIMEONA bachelor ya ICT tuHapo OUT wanatoa bachelor ya IT, Kwani wao wanasemaje?
Na hiyo PCB tayari inakuruhusu kusoma BSC FOOD, NUTRITION AND DIETICS
Hawana comp science. Ila IT,ICT, Comp science zinawekwa kundi moja katika ajira.Out nimeangalia Tcu guidelines ya MWKAA Jana sijaona bachelor ya IT au COMPUTER SCIENCE Amna NIMEONA bachelor ya ICT tu
Sijaona izo nazotaka