Msada wadau natafuta kazi

Msada wadau natafuta kazi

gajjah

Member
Joined
Feb 24, 2014
Posts
18
Reaction score
2
Me nikijana mwenye umri wa miaka 22, natafuta kazi yoyote ili nipate kipato niweze kilipa ada yangu ya chuo nipate cheti na niweze kuendelea na Diploma nimesimama kutokana na kutokuwa na pesa....nisaidieni wadau mana nimeangaika kutafuta kazi laki sifanikiwi, nimesoma Business Administration ngazi ya cheti , nilipo anza Diploma nimeshindwa mana pesa nilio achiwa imeisha..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom