R rechungura1 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2015 Posts 387 Reaction score 131 May 19, 2015 #1 habari wana jf mwenye ufahamu na topic tajwa hapo juu naomba anijuze please
Bakulutu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2011 Posts 2,597 Reaction score 1,868 May 19, 2015 #2 rechungura1 said: habari wana jf mwenye ufahamu na topic tajwa hapo juu naomba anijuze please Click to expand... Umejaribu ku search Google mkuu au kuwauliza PayPal.? Wanajibu fasta na ni majibu ya uhakika.
rechungura1 said: habari wana jf mwenye ufahamu na topic tajwa hapo juu naomba anijuze please Click to expand... Umejaribu ku search Google mkuu au kuwauliza PayPal.? Wanajibu fasta na ni majibu ya uhakika.
The Ideologist JF-Expert Member Joined Nov 11, 2012 Posts 504 Reaction score 299 May 19, 2015 #3 Jamaa sio wewe uliyekuwa unatafuta kazi ya house boy, naona sasa upo katika kutafuta elimu zaidi
R rechungura1 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2015 Posts 387 Reaction score 131 May 19, 2015 Thread starter #4 The Ideologist said: Jamaa sio wewe uliyekuwa unatafuta kazi ya house boy, naona sasa upo katika kutafuta elimu zaidi Click to expand... yeah ndo mimi kwani mahouseboy hatutakiwi kujua ishu za paypal ?,western union na payooneer???????........elimu ni bahari haina mwisho
The Ideologist said: Jamaa sio wewe uliyekuwa unatafuta kazi ya house boy, naona sasa upo katika kutafuta elimu zaidi Click to expand... yeah ndo mimi kwani mahouseboy hatutakiwi kujua ishu za paypal ?,western union na payooneer???????........elimu ni bahari haina mwisho
zech JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 455 Reaction score 372 May 19, 2015 #5 RTFM! Don't be lazy, go to Paypal and ask.