Jamani magreat thinker ualim wa sayansi mkopo lazima atakama ulisoma private naomba mnijuze jaman
Katika utoaji wa mikopo kwa ngazi ya elimu ya juu bodi huwa haitizami kwamba anayeomba ametoke shule ya private au serikaliGreat thinkers,
Uwalimu wa sayansi mkopo lazima hatakama ulisoma private naomba mnijuze jamani