Msada naomba kuuliza kuhusiana na mikopo(Heslb)

Siku hizi mkopo ni bahati na nyota yako!

Jipange kwa kila litakalokea mbele yako
 
Muhimu omba dua tu kijana,asahivi mambo ni virse versa kama una damu ya kunguni basi ndo hivyo tena
 
Great thinkers,
Uwalimu wa sayansi mkopo lazima hatakama ulisoma private naomba mnijuze jamani
Katika utoaji wa mikopo kwa ngazi ya elimu ya juu bodi huwa haitizami kwamba anayeomba ametoke shule ya private au serikali

Kinachoangaliwa zaidi ni zile kozi ambazo serikali wamezipa kipaumbele sana, muombaji kutoweza kugharamikia gharama za chuo ikiwemo ada

Kwa ualimu wa sayansi wewe ni kipaumbele pia

#jaribu kupitia guidbook kutoka bodi ya mikopo kuweza kuangalia unayoyahitaji
 
Back
Top Bottom