Msada nahitaji VGA to HDMI converter adapter anaejua ntapata duka Gani

Dominick 1986

Member
Jun 1, 2016
12
47
1464951435628.jpg
 
kuna duka hapa JM MALL nadhan utapata linaitwa freedom . mimi nlinunua HDMI pale lakini wanazo aina mbalimbali.
 
kvd ipo 150,000, capricon pia ipo skumbuki vizuri ila around 120,000 kuna sehemu karibuni na pale capricon ipo kwa 70,000 ila sidhani kama ni adapter ile ila unaweza jaribu.

hio capricon ipo mjini morogoro road na kvd ipo mjini mtaa wa makunganya kama sijakosea.

inategemea na hio project unayofanya ila kama ni desktop asilimia 100% nakushauri tafuta gpu tu utapata as cheap as 10,000
 
Ivi mnataka tv iwe na audio autput...mi najua sauti inatoka kwenye king'amuzi au deki ndio unaingiza kwenye home Theatre...tv inapokea pcha tu.kwann unataka sauti toka kw tv kwenda kw radio yko??
 
Ivi mnataka tv iwe na audio autput...mi najua sauti inatoka kwenye king'amuzi au deki ndio unaingiza kwenye home Theatre...tv inapokea pcha tu.kwann unataka sauti toka kw tv kwenda kw radio yko??
kwn iyo picha bla kingamuz ingepokelewa na tv?? sauti pia inapokelewa km iyo picha inavopokelewa
 
Kwann unataka suti ipokelewe kwenye tv ndipoiende kwenye Theater?? Kwann isitoke kw king'amuzi au deki ikaenda kw theatre yko..mm najua kuna waya3 kutoka kwenye deki au king'amuzi,wa picha na mbili za sauti..wa picha ingiza kw tv na za sauti weka kw theatre....
 
Au una tv za magumashi zina deck au king'amuzi umoumo kwenye tv km tv za star times zilizozindulia wiki iliopta?
 
No kwa saiv bado sina king'amuz..natumia flash. kwenye tv coz kwenye tv haibagui video video ainayoyote ina play tofut na hometheater ina chagua baadh ya video... so nataka nikchomeka flash kwenye tv nitumie saut ya hometheater lakn tv yngu haina port zle za headphone... za waya wa two ina one....
 
Sasa nmekupata vzr..tumia HDMI..
 
Mimi nahitaji HDMI to VGA ili niitumie kama TV kwenye monitor ya computer maana hizi CRT zinakula sana umeme.
 
Back
Top Bottom