hiyo achana nayo life time imefika mwisho. mimi ni fundi nazifahamu unless inavojirestart ivo shida iwe switch ndo inakuwa na uhai.Simu yangu aina ya Huawei Y300 nikiiwasha Inastart na inashindwa kufunguka baada ya kuandika "Huawei"
He tatizo ni ni software au service life take imekwisha ?
Nikii-flash itarudi/kufunguka kama zamani?
Shukrani