Hasa hard reset ikibidiUmejaribu kuireset pia imeendelea kufanya hivyo?
Restorehabari wakuu
simu yangu ilikua iko sawa,ila kwa sasa nikiiwasha haifiki kwenye Menu,inanilazmisha nitumie WI-FI
nikiwasha WIFI inaniambia niingize gmail,,nikiingiza inagoma
msaada tafadhali, ni TECNO W3
hapo ni frp uli restore inahitaji google account km ni simu yako ziingizehabari wakuu
simu yangu ilikua iko sawa,ila kwa sasa nikiiwasha haifiki kwenye Menu,inanilazmisha nitumie WI-FI
nikiwasha WIFI inaniambia niingize gmail,,nikiingiza inagoma
msaada tafadhali, ni TECNO W3
connect na internet kwa wifi halaf weka email yako then endeleahabari wakuu
simu yangu ilikua iko sawa,ila kwa sasa nikiiwasha haifiki kwenye Menu,inanilazmisha nitumie WI-FI
nikiwasha WIFI inaniambia niingize gmail,,nikiingiza inagoma
msaada tafadhali, ni TECNO W3
Duhabari wakuu

OkHio inaitwa FRP (Factory Reset Protection) iko katika sim ambazo ni latest version.... kuibypass io kitu ni either urudishie account ilokuepo kama sim ni yako kweli haina haja ya kuhangaika just connect to WiFi na ingiza gmail account yako na password basi.... na second solution ni kureset kwa kutumia box...NCK BOX na MIRACLE BOX zinatoa iyo kitu.....
Au pitia apa..... >>> Bypass Factory Reset Protection (FRP) Lock on Tecno W3 & other MTK 65xx Android