Wadau naomba kufahamishwa "wakati wa kujisajili NACTE kwa maombi ya undergraduate course nilisahau kuweka cheti cha grade A na ninasikia pia vinahtajika sa kwny profile yangu sehemu ya ku upload imewekewa NA" Ikiwa hvyo nini nfanye ili niweze kukiweka pia??