Msaada

Msaada

Joined
Jan 11, 2013
Posts
63
Reaction score
16
Heshima kwetu wakuu;Mimi nataka nunua gar aina ya X TRAIL ya mwaka 2005 kama gar yafamilia vp je aina hii ya gar inafaa naomba ushaur nisije juta jaman.Ahsanten sn.
 
Kama itakuwa kwenye hali nzuri chukua
 
Back
Top Bottom