Hivi ukiwa na mpenzi wako then anakua na tabia ya kuuliza uliza kuhusu may be dada flani anaishi wapi au kaka flani anaishi wapi, au anaishi na nani,? alafu anaongea na boy mwingine saa tano za usiku alafu mbele yako then anakua anakusifia sifa ambazo hajawahi kukwambia, hivi huyo mtu anakua katika kundi gani?