Jaman naombeni msaada kunamtu nataka nijue yuko wapi simu yake inaita tu ila haipokelewi . noaomben msaada nawezaje kujua yuko wap kwa kutumia namba yake ya simu.
Sio kweli, labda kama hatumii android. Ipo application ya kujua mtu alipo anapompigia simu au anapokupigia simu, location inaonekana kutokana na mahali mnara uliupo.
Sio kweli, labda kama hatumii android. Ipo application ya kujua mtu alipo anapompigia simu au anapokupigia simu, location inaonekana kutokana na mahali mnara uliupo.
Haiwezekani, unless wote wawili muinstall hiyo software. Info za mnara haziwi transmitted kwa unayempigia simu kwenye call ya kawaida, ni service provider tu anapata hizo info.
Pia naomba tuwe tunaweka link kama unadai ipo hiyo app, haya mambo ya kusema tu ipo bila kutoa hata jina la app yanaleta mabishano tu.