Msaada

Msaada

Pampula jr

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2013
Posts
606
Reaction score
193
Natumia blackberry 9810 naomba msaada namna ya ku download software google play maana kila nikijaribu nashindwa.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Natumia blackberry 9810 naomba msaada namna ya ku download software google play maana kila nikijaribu nashindwa.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
.
Kaka zile apps za google play zote ni APK special for android .. Blackberry apps zipo blackberry apps store....
.
Lakini kuna uwezekano huo wa ku install .APK apps, yaani apps za android kwenye BLACKBERRY
.

How to install an Android app (APK) to a
BlackBerry
If your BlackBerry Z10, Q10, Z30, Q5 or
P'9982 has been updated to BlackBerry OS
10.2.1 or higher, you can now install
Android apps directly onto the phone.

.
Kama unaona imekizi vigezo
.
Here's
how!
.
TEMBELEA HUMU CRACKBERRY.COM
 
Mkuu, Google play ni maalumu kwa watumiaji wa OS ya Android tu. Play store ni kama ilivyo Appworld ambayo ni ya watumiaji wa Blackberry pekee.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Kama ni blackberry ya kawaida application utazolikuta kwenye blackberry world!
 
Back
Top Bottom