msaada!

msaada!

cren

Senior Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
199
Reaction score
21
wana jf naomba kuuliza ka wale walio familiar na facebook kuna hiki kitu kwenye inbox zao unakuta wanawake/wasichana wanaodai kufurahishwa na profile hivyo wanaomba uwasiliane nao kwa email ambazo huziandika katika ujumbe!
 
Kaka mbona hao ni wengi saaana,Mie kwa siku naweza pokea maombi ya wawili au watatu,Hawana lolote zaidi ya kukuhadaa na kujidai wamefurahishwa na Profile yako ila wanaomba uwasiliane nao kwa mail.
 
Back
Top Bottom