jamani simu yangu huawei ascend y200
haioneshi picha.
naomba msaada cha kufanya tafadhal
picha gani?? eleza vizuri.
haioneshi foto kwa mfano nikiingia face book.sehem ya picha ina baki blank.hata profile picture ya mtu siioni.
hata jamii foto haioneshi picha