...Teh! Tehhhh! acha maskhara mkuu msaidie jamaa apate matibabu!!!kabla kukupa maelezo ya kitaalam inabidi kwanza ueleze.
ilikuwaje ukaanguka bafuni? whyy?? huh!
kabla kukupa maelezo ya kitaalam inabidi kwanza ueleze.
ilikuwaje ukaanguka bafuni? whyy?? huh!
Sasa kwanini ukatoa P.O.P bana. Hapo ndio ulipokosea. Rudi kwa daktari yule yule aliyekuwekea P.O.P. Sawa?
nishadili na kesi nyingi lakini hii yako ni kesi ngumu sana, acha nikatafte brifkes yangu ya matibabu . wakati nakutaftia matibabu hakikisha unabadilisha tilez za bafuni na acha uzembe wa kutembea tembea gizani, kama tatizo ni bili la umeme sema tukulipie, tunakuhitaji sana hapa jf ,punguza uzembe.niliteleza ilikuwa usiku nimestuka niende kujisaidia sas kujumlisha usingingi na mwanga wa taa + tilez,nikadondoka,p.op nilitoa coz mguu mwingine ulikuwa unauma na kuvimba sana nadhani coz nilikuwa nauganyagia sana maana mwingine una p.o.p,nisaidieni jamani
haka kaushauri kametulia.Unatakiwa upate bed rest kwa muda mrefu ili uvimbe uishe, usiutembeze mguu, unaweza kupewa ant pain kutokana na hali ya maumivu yako zipo za aina nyingi ila anticoagulant ni nzuri zaidi kwasababu ya kuzuia blood clotting isije kukuletea matata mengine makubwa zaidi tukakukosa,
Lazima pia dr aone kama wahitaji dawa za kupunzuza uvimbe ili baada ya uvimbe kupungua kabisa ufanyiwe marekebisho na kufungwa upwa P.O.P..!!!! Pole sana mkuu !!!!
haka kaushauri kametulia.
Unatakiwa upate bed rest kwa muda mrefu ili uvimbe uishe, usiutembeze mguu, unaweza kupewa ant pain kutokana na hali ya maumivu yako zipo za aina nyingi ila anticoagulant ni nzuri zaidi kwasababu ya kuzuia blood clotting isije kukuletea matata mengine makubwa zaidi tukakukosa,
Lazima pia dr aone kama wahitaji dawa za kupunzuza uvimbe ili baada ya uvimbe kupungua kabisa ufanyiwe marekebisho na kufungwa upwa P.O.P..!!!! Pole sana mkuu !!!!
nishadili na kesi nyingi lakini hii yako ni kesi ngumu sana, acha nikatafte brifkes yangu ya matibabu . wakati nakutaftia matibabu hakikisha unabadilisha tilez za bafuni na acha uzembe wa kutembea tembea gizani, kama tatizo ni bili la umeme sema tukulipie, tunakuhitaji sana hapa jf ,punguza uzembe.