Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 43,051
- 34,783
Pole sana Mkuu.@Mkereketwa_Huyu kama upo Dar nenda Kariakoo kwa wauza dawa za kienyeji mitishamba
Wakwere na waziguwa kawaulize dawa moja ya unga inayoitwa kwa jina hili Mripu ununuwe uwe unauchoma kwenye moto
kila asubuhi na usiku kwa kumuita huyu unayemataka mara 3 uchome kwenye moto. Huku unasema hivi Ewe
Mripu nenda kamripiuwe (fulani jina la mwanamke )
unataja huyo unaye mpenda jina lake kisha unasema kamripue huyuu (Fulani) Moyo wake anipende mimi na aje hapa kwangu
mimi haraka ninakutuma wewe Mripu mripue huyu (fulani) anipende mimi na aje hapa kwangu mimi (Fulani) unataja jina lako Mripu mlete haraka huyu ( fualani jina la mwanamke).
fanya hivyo kwa muda wa siku 3 kisha uje hapa unipe feedback.