T twijuke JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 547 Reaction score 252 Nov 6, 2012 #1 Poleni na majukumu wapendwa. Nahitaji msaada, nahitaji jinsi ya kupata habari za Itv kwenye YouTube. Wao huwa wanasema unaweza kufuatilia habari zao kwenye WWW.youtubu.com/itvtz, mfano nahitaji taarifa ya Jana nafanyaje?
Poleni na majukumu wapendwa. Nahitaji msaada, nahitaji jinsi ya kupata habari za Itv kwenye YouTube. Wao huwa wanasema unaweza kufuatilia habari zao kwenye WWW.youtubu.com/itvtz, mfano nahitaji taarifa ya Jana nafanyaje?
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Nov 6, 2012 #2 Kwanza umefika na kujaribu kama ulivyoelekezwa au umeamua kujaza server tu
M MR. ABLE JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 1,480 Reaction score 946 Nov 6, 2012 #3 waheed suday said: kwanza umefika na kujaribu kama ulivyoelekezwa au umeamua kujaza server tu Click to expand... we msaidie kama unamsaidia, kama hujui waachie wanajf wanaojua wamsaidie.
waheed suday said: kwanza umefika na kujaribu kama ulivyoelekezwa au umeamua kujaza server tu Click to expand... we msaidie kama unamsaidia, kama hujui waachie wanajf wanaojua wamsaidie.
J john hotsam da1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2012 Posts 396 Reaction score 79 Nov 6, 2012 #4 hii ingependeza kama ingeenda kwenye technology,au ni joke tu....!!!???
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Nov 6, 2012 #5 SAUDARI said: we msaidie kama unamsaidia, kama hujui waachie wanajf wanaojua wamsaidie. Click to expand... off course huwezi kutoa msaada kwa mtu mabaye hana uthubutu wa kufanya au kujaribu
SAUDARI said: we msaidie kama unamsaidia, kama hujui waachie wanajf wanaojua wamsaidie. Click to expand... off course huwezi kutoa msaada kwa mtu mabaye hana uthubutu wa kufanya au kujaribu
Kertel JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 5,736 Reaction score 5,683 Nov 6, 2012 #6 Watch from here,vipi unataka kufuatilia american general "erection"