msaada

hemed810

New Member
Sep 13, 2012
4
0
Kwanza kabla ya yote ningependa kuwasalimu wana JF.Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha uhasibu(Tanzania institute of accountancy) campus ya Singida ni kichuka kozi ya certificate in accounting semester ya kwanza lakini kuna changamoto ninazo kutana nazo kama mzazi kutokuwa na uwezo mzuri wa kifedha kuweza kukidhi mahitaji ya chuo kama kulipia karo. Ningependa kuomba kwa wanaJF kama kuna yeyote ambaye anafahamu shirika ama NGO's zinazohusika na kutoa msaada kwa wanafunzi wa vyuo ambao hawana uweze aweze kunisaidia.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom