Msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Uparo, Jun 3, 2012.

 1. U

  Uparo Member

  #1
  Jun 3, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  Wakuu naombeni msaada wa ushauri kwa mtaji wa tsh laki tatu naweza kufanya biashara gani yenye kulipa kwa mda mfupi hata kama ni ya uchuuzi kwani msingi wangu ndipo ulipo na namatumaini ya kuukuza pale nitakapopata biashara.nipo dar
   
Loading...