Msaada

Jasnira

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
608
381
Eti nafasi ya ajira inapotangazwa na kuhitaji mtu mwenye experience labda ya miaka kadhaa.Mie ambae sina experience ninaweza kuapply hapo kweli au ndio nisubiri hadi ambazo hazihitaji experience?!!
 
Ndugu yangu wewe peleka CV watachambua wenyewe mbele ya safari, usiache kujaribu hata kidogo.
 
Bornagain sasa itakuwaje nikiitwa?!!

Watakuuliza kutokana na CV yako ilivyo, wala usiwe na wasiwasi, we kila kazi tuma tu, interview sio kesi ukisema ukishindwa utapelekwa Jela, na itakusaidia kukupa kujiamini kwa maana utazoea mazingira ya usahili
 
Nimeipenda sana hii kitu eti interview sio kesi ukisema ukishindwa utapelekwa jela.Ndugu yangu Jasnira ukiitwa kwenye interview ujue ni one step ahead, hapo unajiandaa kwa kusoma,kuifahamu vizuri kampuni iliyoikuita its mission na vission yake yaani in short ukishajiandaa vizuri na ukajibu vizuri hakuna shida kazi ukipata lazima upewe training hata ya wiki na wazoefu wa kazi then unaendelezea na wewe
 
Mkuu mimi kazi yangu ya kwanza wala sikuwa na title ya Junior, bali nilikuwa fresh from school, na nilienda kwenye interview iliyokuwa inahitaji watu wenye experience, nilijiamini na nilijibu kwa usahihi sana nilichokuwa nakijua na nikachukuliwa kazini huku nikiwaacha baadhi ya wenye uzoefu
 
Eti nafasi ya ajira inapotangazwa na kuhitaji mtu mwenye experience labda ya miaka kadhaa.Mie ambae sina experience ninaweza kuapply hapo kweli au ndio nisubiri hadi ambazo hazihitaji experience?!!

Wengi hupenda kuajiri watu wenye uzoefu ili kazi zao ziende kwa umakini zaidi. Lakini kauna aina za kazi ambazo hutangazwa na kuhitaji experience hata ya 7 years,mfano mambo ya Sheria, udaktari, mipango nk dont try it. Bali kua aina za kazi ambazo zinahitaji hata 2yrs exp,hapa paleka CV kwani inawezekana wote waliotuma maombi wakawa na uzoefu lakini not qualified enough ukilinganiswa nawe. Ukiajiliwa wanakuwezesha kwa mafunzo ya muda mfupi kuendana na mazingira ya kazi.

Ok
 
Asanteni kwa majibu mazuri, hakika mmenipa mwangaza wa ajabu sana. Nitajitahidi kutuma na kujiamini zaidi.
 
Back
Top Bottom