Vanclassic
Member
- Sep 9, 2024
- 88
- 200
wakuu habari za wakt huu,
Nina shida kidgo kwenye PC yangu
Jana nilikuwa naangalia movie usiku ilipoisha nikazima nikalala sasa Leo mimeamka nawasha haiwaki kbsa ila port za.usb zote zinafanya Kaz ukiweka simu chaji inajaa ila mashine haiwaki....tatzo nin wakuu pc ni HP