Mkuu wewe wa kuongea maneno yote haya.Basha hilo shoboka utolewe kinyesi.
Ulizia habari za mababu zako na mizimu yenu kuliko kutaka habari za mababu wa wenzio.
Shukrani mkuu kwa maelezo mazuriJamaa ni mwanamitindo.
Kuachana na umri wake jamaa ana nyuka sana pamba huyo.
Kuna duka la whole sale linamtumia kwa kumvalisha nguo huyo mzee kama model wao. So usishangae kutamba kwake.