Msaada

Msaada

devinho7

Member
Joined
Apr 28, 2017
Posts
27
Reaction score
17
Iviii wakuuu km mtu umechaguliwa chuo cha CBE unaweza kupanga au kuishiii maeneo ganiii mazuriii kwa maana ya usalama na urahisi wa kufika chuoniii .....msaada plz
 
Iviii wakuuu km mtu umechaguliwa chuo cha CBE unaweza kupanga au kuishiii maeneo ganiii mazuriii kwa maana ya usalama na urahisi wa kufika chuoniii .....msaada plz
CBE inazungukwa na upanga, kariakoo, Minazi mmoja na Posta

Nenda YMCA na YWCA Posts hizo ndio cheapest hostel, ila kupata nafasi ndio inakuwaga issue.

Wazungu wakiwa ulaya huwa wanabook mapema kabla hawajaja Bongo.

Nenda physical kaulizie, ukikosa Magomeni ni rahisi kuja CBE kwa mwendo kazi.

Kazi kwako.
 
Back
Top Bottom