Jamani naomba msaada kwa anayewajua/anamjua wataalam/mtaalam wa ku unlock simu kutoka marekani.Nimekutana na mafundi wengi wanasema wanaweza kutoa lock lakini network itakuwa haisomi.Kwa anayejua fundi anayeweza kutoa lock na network kusoma anisaidie plz.Natanguliza shukran zangu