Mnaosimamishaga pisi njiani na kuomba namba na mkapewa nisaidieni mwenzenu. Nimezoea wa restaurant na bar ambao nawakutaga wamekaa hapo kidogo inakuwaga rahisi mno. Lakini hisi za barabarani eti ukute inatembea uombe namba inakuaga ngumu aisee.



unapewa bonge la sonyoooo bata wewe