barcelonista
Senior Member
- Apr 26, 2021
- 158
- 150
Ndugu zangu kwema? Habari za muda huu na poleni na majukumu.
Simu yangu ni Infinix hot 6 tu. Naombeni mwenye kujua App nzuri ya kutazama mpira wa miguu online(Streaming) App nzuri isiyo na mauzauza.
Je GB 1 Inatosha kumaliza Dk 90? Kwa anaefahamu msaada tafadhali.
#forgive Me