msaada

msaada

yakub

Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
41
Reaction score
4
Wanajamii naombeni msaada jinsi ya kuangalia encrypted chanels kwenye decoder yangu inayotumia antena ya kawaida.yenyewe inashika almost chaneli zote za ving'amuzi vya tanzania na nyinginezo.chaneli chache zinazoshika ni kama clouds tv,color tv,tbc 1,atn.so wanajamii nilikuwa naombeni ushauri wa kufanya ili niweze kuangalia hizo chaneli.
 
Back
Top Bottom