Msaada

Msaada

kitoto wa vitoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2019
Posts
375
Reaction score
419
Nawasalimu
Ndugu zangu

Mtoto wa dada yangu ana ufaulu wa wastani wa D Je atachaguliwa au tuanze kufanya utaratibu mwingine mapema
 
Pole sana mkuu.. Mpeleke shule ya private huyo mtoto wako uliyetudanganya ni wa dada yako
 
Mwisho ni wastani wa c Tena kwa bahati sana D hawezi kabisa kuchaguliwa.pole sana kwa hilo
 
Mwisho ni wastani wa c Tena kwa bahati sana D hawezi kabisa kuchaguliwa.pole sana kwa hilo
 
Back
Top Bottom