Nina latop ya Zamani nataka nunua mpya.
Swali je naweza hamisha kila kitu ninamaana files na software kutoka laptop ya zamani kwenda mpya. Inahitaji mtu wa IT ama hata mimi Mchungaji naweza fanya hilo?
Wasalaam
Rev Fr Masa K wa Kanisa la kupinga ufisadi
Kuhamisha data Mchungaji hata wewe mwenyewe utaweza kinachotakiwa ni wewe ujue data zako zipo wapi na kuzihamisha hata kwa flash disk yenye uwezo wa kubeba data nyingi...
Kuhusu Software nina wasiwasi kidogo huenda software zako za zamani zisiwe supported na hivyo laptop mpya (although hujasema ya zamani ina windows gani na hiyo mpya itakuwa na windows gani..) so huenda ikakubali... kama unazo hizo software unaweza kujaribu kuweka wewe mwenyewe.. ukishindwa we uliza tu hapa utasaidiwa.. hiyo hela ya fundi ununulie matunda!!
haya ndo matatizo ya kichungaji keyboard zinakuwa tatizo
Nunua cable moja unganisha na laptop mpya then transfer files and software
ukishidwa niPM
Mkuu Heshima mbele!
Ni kweli nimekwama ninunue clable aina gani? Hii laptop ya sasa inatumia XP mpya itakuwa na Window 7
Nilikuwa na tumia Dell Latitude D 530 nanunua hii Toshiba Satellite C660-195 500GB
JeyKey saidia hapo
nunuA cable type CM 24AWG 4PR (UL)
CSA LL 79189 CMG ETL
haya ndo matatizo ya kichungaji keyboard zinakuwa tatizo
Nunua cable moja unganisha na laptop mpya then transfer files and software
ukishidwa niPM
Mzee hizo basic ninajua! Swali langu nikuwa nataka kama kuclone kila kilichokwenye hii laptop kihamie kwenye laptop mpya yenye Window 7. Nashukuru
Rev.
Unaweza kutumia hizi tools mbili - Windows Easy Transfer au User State Migration - kuhamisha kila kilichokuwa kwenye "OLD" kwenda kwenye "NEW"
Nina latop ya Zamani nataka nunua mpya.
Swali je naweza hamisha kila kitu ninamaana files na software kutoka laptop ya zamani kwenda mpya. Inahitaji mtu wa IT ama hata mimi Mchungaji naweza fanya hilo?
Wasalaam
Rev Fr Masa K wa Kanisa la kupinga ufisadi
Window easy transfer ni software ya kuhamisha vitu toka kwa zamani kwenda kupya...
Download Details - Microsoft Download Center - Windows Easy Transfer for Windows XP
Huku leo nimeshangaa kweli, kumbe usije kukuta hata Marelia Sugu ni computer Injinia.Thanks Mumy! Kumbe hata huku ni nouma ....
Window easy transfer ni software ya kuhamisha vitu toka kwa zamani kwenda kupya...
Download Details - Microsoft Download Center - Windows Easy Transfer for Windows XP
Windows Easy Transfer does not migrate installed applications.
Heehe...nyie mdharauni tu MS...ukute ndo mwajiri wako unamheshimu kama nini...au dr anaekutibugi!!!Huku leo nimeshangaa kweli, kumbe usije kukuta hata Marelia Sugu ni computer Injinia.
Bahati nzuri mimi ni self employed, so siwezi kuwa under MS over my dead body!!Heehe...nyie mdharauni tu MS...ukute ndo mwajiri wako unamheshimu kama nini...au dr anaekutibugi!!!