Msaada

Nina latop ya Zamani nataka nunua mpya.

Swali je naweza hamisha kila kitu ninamaana files na software kutoka laptop ya zamani kwenda mpya. Inahitaji mtu wa IT ama hata mimi Mchungaji naweza fanya hilo?

Wasalaam

Rev Fr Masa K wa Kanisa la kupinga ufisadi

Kachunge kondoo wa kanisani, wape IT wakufanyie kazi lol
 
Back
Top Bottom