mabuladaud
Member
- Jun 19, 2019
- 15
- 7
Hakika.Wanawake wana huruma kweli
Mambo miss joanahMwambie unahitaji condom
Au unafikiri muuzaji huwa hatumii?
Poa troublemaker
Msaidie mwenzio kwanza
Unakuwa unamuonea aibu?au hutaki ajue huwa unafanya?niwe muwazi hata mimi nikimkuta muuzaji mdada mrembo kama wewe kuropoka huwa siwezi... Huwa nasema naomba ile dawa yetu ya kitandani.
Ila akiwa wa kiume sinaga shaka.
Unakuwa unamuonea aibu?au hutaki ajue huwa unafanya?
Vyote.
Kuna ile tayari mtu anajua unaenda kufanya nini dkk chache zijazo
Au ww unaweza kusema nahitaji condom? Hasa kwa jinsia tofauti?
Asa mie naanzaje kwenda kununua condom
Hiyo kazi ya mwanaume
Unaweza kuta hayupo guest wala nini,ukute yuko zake ghetto kaanzisha mada kama hii halafu kalog out....kesho atapitia mapovu yetukuna kasoo flani.
Ila huyu mleta mada atakuwa kavulana sana. Maana si swala gumu kiivyo hadi kulianzishia thread.