MSAADA

saidpatrick

New Member
Joined
Apr 30, 2018
Posts
4
Reaction score
0
Naomba msaada kwa anayefahamu simu yangu aina ya Alcatel One Touch ina tatizo moja, ukiweka data on inafanya kazi ila ukiset 3G, network inakata kabisa.. naombeni msaada kwa anayefahamu namna ya kutatua hilo tatizo
 
Uko sehem gn? Inawezekana sehem ulipo huduma ya 3G in ngumu kulatikana that's why inakata kbsa mtandao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…