MSAADA

Humorous Junior

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2018
Posts
1,599
Reaction score
1,422
KWA MWENYE UZOEFU KUHUSU TOEFEL INTERNET BASED TEST WAKUU, NAOMBA ATOE MAELEZO HAPA MARA MOJA NINA SHIDA, NAHITAJIKA EDIBURGH UNIVERSITY NA HIYO NDIYO SIFA YANGU YA MWISHO NIMEPITA KOTE. NIMEPEWA SCHOLARSHIP YA MSC. SOCIAL JUSTICE AND COMMUNITY ACTION. TAFADHALINI WAKUU MSAADA WENU HAPA UNAHITAJIKA
 

Ulifanikiwa mkuu na sisi tupate kujaribu??
 
Hapana mkuu, kutokana nilikosa mwongozo mzuri

Dah,basi wabongo kweli wachoyo,yaani wanafunzi wa kibongo wanaosafiri nje kwenda kusoma wote wameshindwa kutoa ushirikiano?

Pole sana mkuu,ila kuna mtu nilimuulizia yeye alisoma SUA anasema pia hiko chuo hutoa hivyo vyeti kwa wanafunzi waliopitia hapo,sijafahamu kwa wa nje inakuaje.
 

UMEONA SASA UBINAFSI ULIVYO?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…