MSAADA

Na IMEI yake? Wewe unataka mwenzako akazeekee Jela.
 
Na ndiyo maana nikaweka apps tu na sio maelezo juu sijui ameipata vipi hiyo device kama ni ya wizi atakamatwa ila kama si ya wizi pia zitamsaidia kuifungua.
Na IMEI yake? Wewe unataka mwenzako akazeekee Jela.
 
Naombeni kujua hivi Mtu akisema "Iphone Icloud". Imepo locked


Ina maana gani kwenye IPHONE


Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo Iphone ni ya wizi! ushauri achana nayo na wala isije weka line yako.utakuja ukamatwe upate kesi za ajabu ajabu.....kuna dogo alinunuaga simu...akaja kukamatwa nayo...mwenye ile simu aliuwawa na pesa pamoja na Pisto (bunduki) vilichukuliwa pamoja na hiyo simu....wale police walimwambia kuwa simu zawadi yake wao wanataka ile bunduki tu,na pia aseme mwili wa marehemu ilipo!!!!...So kuwa makini ndugu... kwa miaka hii usipende nunua vifaa vya kielectronics mikononi...itakucost
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ