Huko sio kunielewesha kama hujui Pita tu kimyaina maana 'urudishe simu ilipoibiwa'
nimempa ukweli naona kanitupia povu apo juuMshaiba simu ya mtu...
Inachomaanisha ni kuwa hiyo simu kuna mtu ashafungua account ya security na storage na haiwezekani kuibypass
Hilo ni boksi tu.. Hauna tena access hapo MRUDISHIE MWENYEWE AU itelekeze boya aiokote afungwe..Naombeni kujua hivi Mtu akisema "Iphone Icloud". Imepo locked
Ina maana gani kwenye IPHONE
Sent using Jamii Forums mobile app
dah kudadeki sir godi anakuonamtoto aiburuze chini kama kigari tuu hamna namna
Naombeni kujua hivi Mtu akisema "Iphone Icloud". Imepo locked
Ina maana gani kwenye IPHONE
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo ni boksi tu.. Hauna tena access hapo MRUDISHIE MWENYEWE AU itelekeze boya aiokote afungwe..
Huwez kuuza part ya iphone maybe kioo na mara nyingi ni very cheap.. So mtu anauwezo aka afford new one..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usiwe nyuma kiasi hicho iphone sasa hivi zinafunguliwa kiurahisi na kuna njia nyingi ila simple ni hizi mbili
1.kwa kutumia 3UTOOLS UNLOACK.
2.kwa kutumia IMYFONE LOCKWIPER.
Mtoa mada kama unajiongeza utazifuatilia hizo apps siwezi kuweka maelezo yoyote hapa juu sijui hiyo simu umeipataje.

usinifanye nicheke mkuu hizo apps nilizoweka ni kwamba zina bypass icloud na sio passcode au unadhani sijasoma uzi mpaka mwisho .
usinifanye nicheke mkuu hizo apps nilizoweka ni kwamba zina bypass icloud na sio passcode au unadhani sijasoma uzi mpaka mwisho .
Ila shida ni moja kwamba ata lose data za awali zote kwa kuwa procedure moja wapo ni kupiga firmware mpya .
[emoji23][emoji23] watu mpo dunia ipi?
Kubishana sana siwez.. Umetoa iCloud ngap? Wanaobahataik kutoa iCloud mala nying ni by guessing passcode
Sent using Jamii Forums mobile app
umerudia kusoma post yangu ya awali nimesema siwezi kuweka maelezo mengi nimeweka apps fuatilieni fanyeni experiment na iphone iliyokuwa locked kisha mje na mrejesho hapa .siwezi sema kila kitu mkuu .