Msaada

Msaada

Kukushauri inabidi kwanza wewe ufunguke,,uko wapi??,,una mtaji au akiba yoyote??,,unaishi mwenyewe au kwenu??..na mambo mengine hapo ndo ingekuwa rahisi kushauriana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umesomea masomo gani advance mzee,uliapply coz gani hapo UD
 
Back
Top Bottom